MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday 28 July 2015

BREAKING NEWS!!! BUS LA SABUNI LAPATA AJALI MISENYI KAGERA ABIRIA WAPOTEZA MAISHA



. Mapadre watajwa kupoteza maisha,
Kutoka Karagwe kwenda Bukoba limegongana na Cluiser iliyokuwa na mapadre na sisita katika eneo la Bugorora nje kidogo ya Kyaka wilayani Misenyi mkoani Kagera.

Basi hilo nambari za usajiri T650 BFI na Cluiser T166 AGU ambapo waliotajwa kupoteza maisha kwa taarifa za awali ni Padre Onesmo Kahabwa na Michael Mwelinde pamoja Sista Magret Tadebe ambao ni wa parokia ya Katoke waliokuwa wakitokea Lurenge wilayani Ngara.

Tutakuletea undani wa habari hivi punde.
 

Na Mwanaharakati.

No comments: