MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 28 July 2015

ANAYETUHUMIWA KWA UJAMBAZI SUGU BUKOBA AKAMATWA MWANZA

. Anatajwa kuiba milioni zaidi ya 100,
. Amekamatiwa Dar aletwa kwa ndege chini ya ulinzi mkali.
Mtuhumiwa katikati ndani ya gari
Ametajwa kwa majina Ibrahimu Ismail Kingu, ambaye ametuhumiwa kuiba fedha za mfanyabiashara mmoja katika manispaa ya Bukoba, ambapo zaidi ya milioni 140 ziliibiwa baada ya walinzi kunyweshwa vitu vilivyosadikiwa ni sumu.

Fuatilia picha tangu aliposhushwa uwanja wa ndege hadi kufikishwa kituo cha polisi Bukoba.




Na Mwanaharakati.

No comments: