. Wakutwa na kadi za vyama vya siasa,
. Wapo waliofungwa,
. Viongozi wa kata na vijiji wahusishwa.
Ni katika utaratibu wa kila siku kubaini wahamiaji haramu, ambapo jumla ya wahamiaji haramu 780 katika mkoa mzima wa Kagera ambao wamekuwa katika mchakato wa matukio mbalimbali ya ukiukwaji wa sheria za nchi kama anavyofafanua kamishna msaidizi wa uhamiaji mkoani Kagera Geoge Kombe anavyofafanua...............
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment