MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 13 July 2015

KIFO CHA MZEE OJWANG (BENSON WANJAU)

Ni msanii maarufu wa vituko na Vitimbi nchini Kenya, ambaye amewkuwa akifanya kazi hiyo kwa muda mrefu, akijulikana kama Ojwang, mume wa mama Kayayii.

Taarifa za kifo chake zililipotiwa katika vyombo mbalimbali nchini Kenya, na kuwa wadau watamkumbuka sana kutokana na umahili wake katika kuigiza matukio yenye mafunzo kwa jamii.

Endelea kufuatilia hapa
Na Mwanaharakati.

No comments: