MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 12 July 2015

PAMOJA CCM KUPIGA KURA, HUYU NDIYO ALIYECHAGULIWA KUGOMBEA URAIS, MWENZA HUYU HAPA

. Nikupitia mchakato mzito wa uteuzi,
. Achaguliwa Magufuli kutoka kandayaziwa,


Mwenyekiti wa chama hicho Dr Jakaya Kikwete, amesema mchakato huu umekwenda sambamba na kutengeza Ilani ya CCM, ambayo ilikuwa chini ya Stephen Wasira kama mwenyekiti, na itazinduliwa mwanzoni mwezi Agost kwa mkutano wa makatibu wote wa mikoa.

Aliyekuwa mwenyekiti wa kura ni spika wa bunge la muungano na kusaidiana na spika wa baraza la wawakilishi, ambao wamekabiodhi kwa mwenyekiti Jakaya Kikwete na kuridhia kuwa imekamilika na kuwa imesainiwa na wahusika hivyo matokeo yametangazwa na Anna Makinda kuwa;-

Kura zote zilizopigwa ni 2422 zilizoharibika ni 6 halali 2416, ambapo  Dokta Asha Roze Migiro kura 59 asilimia 2.4% ba;lozi 253 sawa na asilimia 10.5% na  John Magufuli kura 2104 sawa na asilimia 87.1%
Na Mwanaharakati.

No comments: