HIJA NYAKIJOGA MUGANA BUKOBA 06 SEPT. 2015
Wapendwa,
Tunawaalika katika hija ya kila mwaka ya Nyakijoga Mugana Bukoba; Lurdi ya Bukoba. Itakuwa tarehe 06 Septemba 2015. Mwaka huu hija itaobgozwa na Balozi wa Baba Mtakatifu Tanzania, Mha. Askofu Mkuu Francisco Padilla.
Karibu tumshukuru na tumwombe Mama Yetu Bikira Maria. Kwa namna ya
pekee tuombee amani nchi yetu katika kipindi hiki cha uchaguzi.
Mama maria Mama wa Mungu utuombee.
Mama maria Mama wa Mungu utuombee.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment