Ni Balozi Kagasheki ambaye amerudisha form hizo tayari kuanza kampein katika jimbo la Bukoba mjini, ambapo ahadi yake ni kueleza sera kupitia Ilani ya chama alichopitia cha CCM.
![]() |
Mkurugenzi manispaa Aron Kagurumjuli kulia akipokea form za Mh Kagasheki. |
Mwingine ni
kutoka TLP ambaye pia amesema wamejipanga vizuri kuchukua nafasi ya ubunge
katika manispaa ya Bukoba ingawaje wanatambua kuwa hawana wananchama wengi
Bukoba mjini.
Wilfred
Muganyizi Lwakatare, yeye amerudisha form kupitia CHADEMA, akisema kuwa sasa ni
wakati wake kurudia nafasi ya ubunge katika jimbo husika.


Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment