. Asema lazima akina Mbatia
wafundishwe,
. Aungana na wanaotafuta mabadiliko.
Ni aliyekuwa waziri mkuu katika awamu ya tatu chini rais Benjamin Mkapa, Frederick Sumaye, amesema amepata Baraka za familia yake ambayo ni ya kaskazini, kwa lengo la kuungana na wanaotafuta maendeleo ndani ya CCM.
Itakumbukwa
kuwa ni waliokuwa mawaziri wawili kuondoka
ndani ya CCM, yeye pamoja na Mh Edward Lowasa, baada ya kutochaguliwa kugombea urais kupitia CCM, kwani walikuwa
miongoni mwa watia nia 42 kupitia chama hicho, ambapo John Mgufuli aliteuliwa
na CCM kupeperusha bendera ya chama hicho.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment