MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 10 September 2015

TAARIFA ZA MUFTI MPYA TANZANIA



Taarifa zilizotufikia sasa, zinasema kuwa Bakwata katika mkutano wake uliofanyika mjini Dodoma, wamepiga kura na kumchagua kwa kura 310 Sheikh Abubakary Zubeiry kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania.

Imetajwa kuwa wagombea watatu ambao utawajua baadae walijitoa, ambapo mufti huyu mpya anachukua nafasi ya Sheikh Issa Shabaan Simba aliyefariki tarehe 15 mwezi wa sita 2015.
 

CHANZO jamiiforums.

No comments: