MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 10 September 2015

PICHA ZA MAPOKEZI YA MWILI WA MFANYABIASHARA MAARUFU- JOSEPH MSHUMBUSI

Ni baada ya mwili huo kupokelewa katika uwanja wa ndege mjini Bukoba, viongozi mbalimbali wamejitokeza na hatimaye kumfikisha katika moja ya nyumba za marehemu mjini Bukoba na kumalizia kwa misa maalumu katika kanisa kuu mjini Bukoba.

Hapa ni nyumbani kwa marehemu Joseph Mshumbusi Rulongo Kanazi Bukoba vijijini.
 Taarifa zinasema kuwa marehemu atazikwa kesho saa 8 mchana ingawaje misa itaanza saa7 mchana kumwombea katika safari yake ya mwisho, tutakuletea yatakayojiri.

Na Mwanaharakati.

No comments: