Taarifa
iliyotolewa na askofu msaidizi jimbo la Bukoba mjini Dr. Method Kilaini, inasema kuwa mwili utapokelewa tarehe
10/09/2015 saa3 asubuhi mjini Bukoba, na kusaliwa misa saa nne asubuhi katika
kanisa kuu la Katedrale mjini humo.
Baada ya
misa mwili utapelekwa kijijini kwao Rulongo, tayari kwa mazishi yanayotarajiwa
kufanyika tarehe 11 sep 2015 kuanzia saa8 mchana katika kijiji cha Rulongo Kanazi.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment