Muda mfupi baada ya kutangazwa matokeo ya urais kuonesha kuwa Dr John Magufuli amemshinda Lowasa kwa zaidi ya 18%, taarifa inayoonekana kwenye mitandao kijamii ikionesha kutolewa na aliyekuwa mgombea urais kupitia UKAWA, inasema tumewasilisha malalamiko juu ya mchakato ulivyokwenda katika uchaguzi mkuuu.
Sheria inasema kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akishatangaza mshindi katika nafasi ya rais hairuhusiwi kufungua kesi mahakamani.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment