Kukithiri
kwa umaskini, ukosefu wa ajira na kuongezeka kwa watoto mitaani, kunachangiwa
na idadi kubwa watoto wa kike wasio na ajira, hali inayotokana na kutopewa
elimu sawa na watoto wa kiume.
Mtandao
huu umetembelea Donbosconet Dar es salam, nakukuletea sababu za ukosefu wa
elimu hiyo kwa wasichana na vijana wa kiume, na jinsi gani wajikwamue, fuatilia
ripoti hii maalumu na ya kusisimua.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment