Ni baada ya waendesha pikipiki kuonekana na kusikika wakijipanga kuandamana, huku kukiwa na taarifa za kushambulia nyumba ya mkuu wa mkoa wa Dra es salaam, Said Meck Sadick, baada ya kutengeneza mlipuko kwa njia ya chupa.
Kutokana na hali hiyo, viongozi wa jumuiya za waendesha pikipiki hao wanajitokeza na kukemea jambo hilo,
hali ambayo hatahivyo inahusishwa na njama za baadhi ya vyama vya siasa, kwamba hawakuridhika na matokeo ya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment