MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 2 November 2015

MAFURIKO MWANZA, WATU WAPOTEZA MAISHA



Taarifa zinasema kuwa mvua kubwa zimenyesha tangu mapema asubuhi leo, ambapo maeneo mbalimbali ya jiji la Mwanza yamefurika na kusababisha shughuli za kijamii kukwama.

Huku tukiharifiwa kwa awali kuwa watu wawili wamefariki na wengine wakitajwa kujeruhiwa nab ado mamlaka zinafuatilia taarifa kuhusu ukubwa wa mahafa hayo.

Endelea kufuatilia hapa tutakuletea undani wa habari hizi.
 

Na Mwanaharakati.

No comments: