MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 8 December 2015

BREAKING NEWS!!! KAULI YA CCM JUU YA RAIS MAGUFULI

Kamati kuu ya ccm kupitia kikao chake cha Jana, imemuungamkono raid na kuagiza yafuatayo:-
1. Viongozi wahusika wachukue hatua dhidi ya maovu yanayofichuliwa.
2. Wana ccm waungane kufichua madudu.
2. Imesema yanayotekelezwa ndiyo yaliahidiwa na ccm.

Endelea kufuatilia hapa...
Na Mwanaharakati.

No comments: