Cahama nchini Tanzania cha mapinduzi CCM, kimesema kuwa
kinaunga mkono juudi za rais wa sasa Dr. John Pombe Magufuli, kwa kusisitiza
kuwa anatekeleza Ilani ya chama hicho, huku kikiwataka watendaji wengine
kutekeleza maagizo yake ili kufanya mabadiliko ya kweli.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment