Akizungumza kupitia matangazo ya moja kwa moja katika kituo cha Star TV, RC Makonda amejibu maswali mbalimbali yaliyokuwa yakisikika mtaani ikiwemo umiliki wa mali, kuwa na mvutano na watu mbalimbali, kuitwa Bashite, huku akikataa kujibu suala la elimu yake, ingawa ameeleza kwa kirefu juu ya mahusiano yake na Clouds Media, huku akizungumza maneno yenye kuonesha kejeli kwa Ruge Mutahaba.
Muda mfupi baada ya kipindi hicho, katika Clouds TV kwenye kipindi kilichokuwa kinaendelea, wamemkaribisha Ruge ili azungumzie binti aliyesaidiwa na chombo kupata elimu baada ya kupata ulemavu wa macho, Ruge alipoulizwa kuhusu baadhi ya maneno ambayo watangazaji wamesema kuwa hawakuyasikia wenyewe bali wanaambiwa, Ruge amejibu kama ifuatavyo......
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment