MAKAMU WA RAIS MOHAMMED GHARIB BILAL
Hapa ni katika viwanja vya Butiama katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE ambapo leo imetimia maiaka12 tangu kuaga dunia mwaka 1999 katika Hospitali ya St THOMAS huko LONDON UINGEREZA.
Sambamba na maadhimisho hayo makamu wa rais amewasha mwenge wa uhuru katika viwanja hivyo hivyo ambao umeanza kuzungushwa mkoani mara chini mkimbizaji mkuu wa mwaka huu.
No comments:
Post a Comment