Ni rais mpya wa ZAMBIA MICHAEL SATTA akitangaza baraza la mawaziri baada ya siku chache baada kushinda urais wa nchi hiyo.
Rais SATTA amemchagua pia makamu wake wa rais ambaye ni mzungu jambao ambalo limeleta mazungumzo na mafunzo kwa marais mbalimbali wa nchi za kiafrika na ulaya.
Katika uteuzi wake rais SATTA amefanya mchanganyiko kutoka vyama vya upinzani wake jambo ambalo linawezxa kuleta serikali yenye mwamko mzuri kisiasa.
No comments:
Post a Comment