Amesisitiza waandishi kukamilisha kazi wanazoombea pesa kutoka TMF ili kuhimarisha uhaminifu katika mfuko huo ili utakapofunguliwa muhula mwingine mwaka 2012 waweze kupata ruzuku kwa urahisi.
TMF mwaka kesho 2012 inampango wa kurekebisha taratibu tofauti na za sasa ili kumwezesha mwandishi kupata ruzuku kwa haraka baada ya kuomba na wakti huo bwana SANGA akishauri kuwa kuanzia hapo TMF itakuwa na uataratibu wa kutomwonea mtu huruma ya kumpa pesa kama ataonekana kutokujali kazi yake ipasavyo.
Kuanzia mwishoni mwa novemba TMF itafunga muhula na kutoatoa ruzuku hadi mwezi march 2011.
NI WAANDISHI HABARI WAKIMSIKILIZA MWALIMU MWEZESHAJI(MENTOR) ALIYEVALIA KOFIA NA KOTI YA DRAFTI, MHARIRI NDIMALA TEGAMBWAGE.
BASI LINAPOSIMAMA AJILI YA KUCHIMBA DAWA.
Ni katika barabar ya Tabora Dar Wilayani IRAMBA katika maeneo ya MISIGIRI ambapo inaonekana kila mara gari hili pichani usimama hapa hili abiria wachimbe dawa lakini cha ajabu pamoja na uchimbaji huo wa dawa, wenye gari umwaga uchafu kama makopo ya soda na mifuko mbalimbali katika mtaro huu inavyooneka. Sasa je ukujaa mtaro huu itakuwaje?
No comments:
Post a Comment