MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday 10 April 2012

KANUBA ANAAGWA HUKU RIPOTI KUHUSU KIFO CHAKE ZIMEANZA KUTOLEWA, DOKTA NCHIMBI ASEMA SERIKALI IMTOA MILIONI KUMI;

 Habari niliyoisoma kutoka Gazeti Citizen inasema taarifa ya Dokta inasema msanii huyo alipigwa kwa kitu kizito kichwani.
Katika kuaga huku mwili wa marehemu ndugu ndiyo wameruhusiwa kuaga mwili na gari inayobeba mwili huo inapita katikati ya watu waliojipanga barabarani ila watu ni wengi sana,
Waziri wa habari na michezo Dokta EMMANUEL NCHIMBI  amesema kuwa wasanii waliobaki waendeleze fani hiyo lakini kutokana na kazi aliyoifanya kanumba serikali imetoa shilingi milioni 10 kughani msiba.

The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Tanzania’s premier film star, Steven Kanumba, died of a brain injury caused by a sudden blow to the head. One of the doctors who examined Kanumba’s body at Muhimbili National Hospital hinted that the actor died on the spot after suffering such severe brain damage that he collapsed and stopped breathing.

Kanumba died on Saturday in his room in a dramatic turn of events that many of his fans have yet to come to terms with.

On the night he died, the 28-year-old actor was reportedly with 18-year-old Elizabeth Michael, popularly known as Lulu, who is being interrogated at Kinondoni regional police headquarters at Oysterbay in Dar es Salaam.

No comments: