MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 12 April 2012

MAREHEMU JENERALI MWITA KIARO AAGWA MWANZA;

Jenerali Mstaafu Ernest Mwita Kiaro alizaliwa mnamo tarehe 1/01/1923 nakufariki dunia 10/04/2012.

(PICHANI CHINI) Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Ernest Ndikilo leo ameongoza Umma aliojitokeza kutoa salamu za rambirambi kwa mwili wa aliyewahi kuwa mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini Jenerali Mstaafu Ernest Mwita Kiaro aliyefariki dunia siku ya Jumanne wiki hii akiwa na umri wa miaka 87 ambaye ameagwa rasmi leo jijini Mwanza.
 Huyu ni mke wa kwanza wa marehemu Jenerali Mstaafu Ernest Mwita Kiaro aitwaye Penina Kiaro, akiwa katika hali ya majonzi.
 Chini ni baadhi ya makamabanda wakifuatilia misa ya kumwaga marehemu katika eneo la kilima kwenye nyumba mojawapo ya marehemu hapo Kapripoit Mwanza.
Mwali wa marehemu Jenerali Mstaafu Ernest Mwita Kiaro unasafirishwa kwenda kwao Mara tayari kwa mazishi.

No comments: