
Mzee Kabyemera kutoka KOLPING TANZANIA, amehitimisha kwa kuhamasisha wadau wa kilimo kutumia mbinu mbadala walizopata kwenye mkutano huo ili waendeleze kilimo na kuleta maendeleo Kagera.
Hizi ni mbegu za viazi lishe ambazo zimetolewa kwa kikundi cha MVUMI ili kufanya mashamba ya mfano, na picha chini ni Bi MAGARET McEWAN kutoka Nairobi akiwakabidhi wanafunzi hao mbegu za mfano.
Chini ni shmaba la wanafunzi hao wa MUSHASHA japo kutokana na mvua za mkoani Kagera yamejaa maji lakini wataalam wanasema ni maji ya muda mfupi hivyo viazi vitastawi kawaida.
No comments:
Post a Comment