MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 26 July 2012

WAKATI WAZUNGU WANAJALI AFYA ZAO KULA CHAKULA KATIKA MAENEO YANAYOJALI USAFI WABONGO TUMEENDELEA KUTUMIA GHARAMA KUBWA KULIPIA CHAKULA KIBOVU.

 Hapa chini ni chakula ambacho kimepoa samaki mdogo na amekaangwa bila kuiva vizuri lakini pia ubwabwa umepoa pamoja na mchuzi usiokidhi viwango vya mwanadamu, ambavyo kwa hali ya kawaida chakula hiki kilistahili shilingi elfu 1500/= au 2000/= lakini nimekuta kinauzwa kwa shilingi elfu 4500/=

 Tazama chakula hiki kwa makini jamani.

Wanaotafuta maisha kupitia afya za watu kuweni makini mtatuua na wasimamizi wa masuala ya afya na usafi pitieni kwenye vibanda hivyo na muweke masharti stahiki.

No comments: