Haya ni machache miongoni mwa aliyosema kwa watanzania na
dunia kwa ujumla;- Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kunilinda mpaka
kufika siku hii. Hakika ni mapenzi yake yametimia. Inshaalah, naomba mungu
aniongezee uhai na uzima. PIA...Nawashukuru wale wote ambao waliweza kuwa nami
katika safari yangu ya maisha mpaka siku hii.
No comments:
Post a Comment