Pamoja na mambo mengine, shekh huyo wa wilaya amesema
watoaji wa mimba na kupokea rushwa wanakiuka maadili na wanavunja sheria za
nchi pamoja na kumkosea Mwenyezi Mungu, hivyo kama kiongozi wa kidini anapinga
kwa nguvu zake suala hilo.
Amesema wakati umefika wa watu kujiandaa kuhojiwa kwa maovu,
kuhusu sense amesema yeye ameshuudia miongo tofauti ya sense hivyo amesema ya
mwaka huu imeghubigwa na malalamiko kutokana na maandalizi kuwa hafifu.
No comments:
Post a Comment