
Katika upande mwingine, amewataka wana Kagera kutambua kuwa si lazima mwananchi anayetaka kutembelea hifadhi hiyo kutegemea wadhamini, bali anaweza kujitokeza mwenyewe na kupanda magari yaendayo na kutoka mwanza, akifika barabara iendayo kisiwani huko ni rahisi sana kupata makazi ya muda pamoja na vyakula vya aina mbalimbali bila kusaau huduma nyingine za kibinadamu.
No comments:
Post a Comment