Kupitia semina hiyo, waandishi habari mkoani humo,
wametakiwa kutunziana siri za kazi zao, ili kuondoa tatizo la kuharibu vyanzo
vyao vya habari.
Akizungumza katika ufunguzi wa semina hiyo, mkufunzi kutoka
MCT Bwana DEO MFUGALE, ambapo amesema kuwa hali hiyo itaondoa na kusaidia
kutunza siri za waandishi wa habari na kuongeza uhaminifu wa kazi zao.
Juu ni mmiliki wa blog hii na mtangazaji Kasibante fm Redio,
pamoja na muandishi wa gazeti la Daily News, na chini ni waandishi kutoka
vyombo mbalimbali vya habari mkoani Kagera.
No comments:
Post a Comment