PICHANI NI KAMANDA BARLOW ENZI ZA UHAI WAKE
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza
Kamishna Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Barlow ameuawa usiku wa kuamkia
leo katika tukio linalohusishwa na ujambazi.
Taarifa kutoka Mwanza ambazo
zimethibitishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini zinasema kuwa Kamanda Barlow
aliuawa baada ya kumrudisha dada yake kutoka katika kikao cha harusi ya ndugu
yao huko Kitangili.
No comments:
Post a Comment