MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 12 October 2012

VURUGU NA MAANDAMANO YA RAIA DAR ES SALAAM



Jeshi la polisi latawanya waandamanaji kuhusu vurugu zilizotokana na kijana mdogo kusadikiwa kukojolea kitabu kitakatifu cha QURAN katika eneo la Mbagala.

Kamanda wa jeshi la polisi jijini Dar es salaam SULEIMAN KOVA amesema kuwa polisi inaendelea kudhibiti vurugu hizo, ambazo zimesababisha kuvunjwa vioo vya gari la polisi, ambapo inasemekana maandamanao pia yamevamia makanisa ya Mbagala.
Kova amesema lazima polisi iweke ulinzi kila kanisa ili kuondoa wasiwasi na kupunguza uaribifu. BOFYA KATIKATI UMSIKILIZE KAMANDA KOVA.

No comments: