Nicolaus Mac (None Association Movement) KWA MATANGAZO YA REDIO NA TV WASILIANA NASI KWA +255767814844- nicolausngaiza@gmail.com.
Thursday, 11 October 2012
KONGAMANO LA WAANDISHI HABARI NA WADAU WA HABARI KAGERA.
Katika Kongamano hilo, wadau wa habari wametoa changamoto kwa waandishi, wakisisitiza kujituma kwao ili kuinua maendeleo ya mkoa na taifa kwa ujumla, kushiriki na makundi maalumu ya walemavu, wazee, na watoto na akina mama wajawazito. Hata hivyo wamesema kuwa waandishi waache kusubiri kuletewa habari bali wajikite zaidi katika kufanya habari za uchunguzi ambazo zinaibua mambo muhimu katika nchi na Dunia. Meya wa manispaa ya Bukoba ndiye alikuwa mgeni rasmi ameshukuru wandishi na akasema waisadie serikali kuibua sehemu zenye matatizo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment