MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 11 October 2012

SNV YATOA MIKAKATI KWA WAANDISHI HABARI NA WAASIBU WA REDIO 5 KANDA YA ZIWA KUHUSU WASH PROGRAM.

 Wakati huo huo washiriki hao, wamekubaliana kufanya kazi zao kwa ushirikiano na kubadilishana habari ili kuboresha kazi zao kiutendaji.
 Redio zilizoshirikishwa ni Kasibante fm ya Bukoba, Kwizera ya Ngara, Afya ya jijini Mwanza, Sengerema ya Sengerema, na Redio Faraja KUTOKA Shinyanga.


 Hata hivyo wawezeshaji JOSEPHINE LEMOYA, AYETA ANNE WANGUSA, PRATISH CHORAN-KPMG na CONSOLATA TEMU- SNV, wametoa changamoto ya washiriki kueleza walichokipata na watakachofanyia kazi, ikiwemo ushirkishaji jamii katika matumizi ya maji.

No comments: