Katika salamu zake mkuu huyo wa mkoa amesema kuwa anawapa pole kwa msiba ulioukumba mkoa kutokana na vifo vya watoto 5 wiki hii katika kijiji cha IHANDA wilayani Karagwe baada ya kuripukiwa na bomu la kutupwa kwa mkono.
Taarifa iliyotolewa na RPC PHILIP KALANG, imesema kuwa watoto hao walikuwa wakichezea bomu walilolipata kutokana na vyuma chakavu baada ya kuona linafanana na mpira wakaamua kulichezea.
No comments:
Post a Comment