Radio call iliyokuwa ikitumiwa na aliyekuwa kamanda wa
jeshi la polisi Mwanza marehemu Liberatus Barlow hatimaye imenaswa ikiwa
imefichwa kwenye shimo la maji taka (septic tank) kwenye moja ya nyumba eneo la
Nyashana jijini Mwanza.
Kunaswa kwa Radio call hiyo kumekuja kufuatia kukamatwa
kwa watu wengine watatu zaidi wakituhumiwa kuhusika na mauaji hayo.
Hata funguo za gari nazo zasemekana kupatikana.
Habari na Gsengo.
No comments:
Post a Comment