MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 27 December 2012

ASKOFU KKKT AWAASA WATANZANIA KUTUNZA TAIFA LAO

Akizungumza katika ibaada ya X-mass, Askofu wa kanisa la KKKT dayosisi ya kaskazini magaharibi ELISA BUBERWA, amesema kuwa ni wakati wa wakristo kutambua umuhimu wa taifa lao ambalo limejaa neema, hivyo kulitunza kwa kutotenda maovu  ambayo yanaonesha dalili ya kusababisha machafuko.    Katika hatua nyingine, Askofu huyo amewataka waumini wote kutopenda kuhama hama madheebu, na hata hivyo kuacha kubatizwa mara kwa mara , kwani kitendo hicho ni hakimpendezi mwenyezi mungu kwani mtu uzaliwa mara moja.


MWANA HARAKATI

No comments: