Taarifa zinasema kuwa msanii huyo JUMA KILOWOKO atazikwa kwenye makaburi ya KISUTU jijini Dar es salaam, tofauti na taarifa za awali kuwa atasafirishwa kwenda kijijini kwao huko SONGEA.
Ni baada ya kuugua kwa muda mrefu huku akipelekwa India kwa matibabu bila mafanikio, wasanii pamoja na wadau wa tasnia hiyo tunasikitika sana kwasababu ni kama amefungua milango ya 2013, kutokana na historia ya tasnia hii mwaka jana kuondoka wasanii kwa kiasi kikubwa hila hatuna jinsi.Mungu aiweke roho yake popote anapoona anastahili, JAH RASTAFARIE.
No comments:
Post a Comment