MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 3 January 2013

MNAPOKUTANA KAMA FAMILIA INAPENDEZA

Ni katika sikukuu za Xmass na mwaka mpya baada ya kukutana familia ya Mzee Trazias Ngaiza.
 Kwasasa kila mtu ameshatawanyikia kwenye sehemu yake ya kazi na majukumu ya yanaendlea baada ya kumtembelea mama mzazi BERTHA NGAIZA nayeonekana amejifunga kitambaa kichwni.
MWANA HARAKATI

1 comment:

Anonymous said...

mbona DJ CHEZA HAONEKANI AU ALIKUWA AMEENDA TIBYATULWA kwenye disco toto