MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 19 December 2012

BIBI ANAYEISHI KWA TAABU AOMBA MSAADA

Ni baada ya kujikuta kile anachokusanya kwa kuomba kinaondoka bila hata kukitumia, na hii inatikana na kuishi kwenye kibanda au kipande cha nyumba iliyoanguka na kusaza sehemu ya paa huku maeneo mengine yakiwa wazi.
 Anasema ulazimika kutembea na mizigo yake akihofia atakapoiacha anakuta imeibiwa na baadhi ya vibaka ambao hata i=hivyo umvizia nyakati za usiku. Je tunamsaidiaje wandugu? YUPO BUKOBA MJINI.
MWANA HARAKATI

No comments: