Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kwenye uwanja wa
sherehe baada ya kupata maelezo na kutoa maagizo kwa uongozi wa juu wa Jeshi la Kujenga Taifa
(JKT) alipotembelea makao makuu yake leo
February 27, 2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi
Nahodha na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange pia walihudhuria.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa juu wa Jeshi la Kujenga Taifa
(JKT) jijini Dar es salaam alipotembelea leo February 27, 2013. Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha, Mkuu wa Majeshi
Jenerali Davies Mwamunyange pia walihudhuria.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa juu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) jijini Dar es salaam alipotembelea leo February 27, 2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange pia wapo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na kada mbalimbali za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) alipotembelea leo February 27, 2013
MWANA HARAKATI/ PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment