Kilikuwa ni kigango wakristo wakajichanga na kujenga kanisa
kubwa na palikuwa na ugeni(balozi)kutoka Vatican alikuja kuzindua kama mgeni
rasmi,majeruhi ni wengi ila vifo bado havijathibitishwa mpaka sasa hivi.Ni eneo
la Olasiti kwa wakaazi wa Arusha au wanaoifahamu Arusha,radio Maria wanatoa
taarifa kila mara.
Balozi wa Baba Mtakatifu alikuwa anafungua parokia hiyo, na
wakati tu anaanza ibada, mlipuko mkubwa wa bomu umetokea na kuna watu
wamejeruhiwa vibaya na inawezekana kuna vifo.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment