Nicolaus Mac (None Association Movement) KWA MATANGAZO YA REDIO NA TV WASILIANA NASI KWA +255767814844- nicolausngaiza@gmail.com.
Monday, 23 December 2013
HUYU NDIYO LOWASA
Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Pikipiki Wilaya ya
Ilala,Michael Roewe akisoma Risala yao mbele ya Mgeni Rasmi,Mh. Edward Lowassa
(hayupo pichani) wakati wa Tamasha Maalum la Bodaboda lililofanyika leo kwenye
Viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam.
MWANA HARAKATI
Profesa Ibrahim Lipumba amesema nchi inakumbwa na msukosuko mkubwa wa kiuongozi na Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Kikwete anapaswa kuchukua maamuzi ya busara ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa
Monday, 16 December 2013
HUYU NDIYE MWENYEKITI MSTAAFU CCM MWANZA CLEMENT MABINA ALIYEUAWA
MWANA HARAKATI
MAZISHI YA MANDELA NDIYO HAYA
Ni banda rsmi lililotumika wakati wanafamilia wakifatilia mazishi ya Mandela wakati wanajeshi wa ngazi za juu wakifata taratibu zote za heshima.
MWANA HARAKATI
Friday, 6 December 2013
MJUE NELSON ROLIHLAHLA MANDELA
Nelson Rolihlahla Mandela alikuwa mwanamapinduzi na mpigania haki wa South African na mwanasiasa aliyehudumu kama rais kuanzia 1994 hadi 1999.
Picha chini ni gereza alikokuwa amefungwa mandela katika kisiwa cha Roben
Baada ya kutoka gerezani mandela hakuonesha kinyongo kwa wazungu.
Alizaliwa: July 18, 1918, Mvezo, South Africa
Amefariki: December 5, 2013, Johannesburg, South Africa
Ndoa: Graça Machel (m. 1998), Winnie Madikizela-Mandela (m. 1958–1996), Evelyn Mase (m. 1944–1958)
Watoto: Makaziwe Mandela, Zenani Mandela, na zaidi
Tuzo: Nobel Peace Prize, Bharat Ratna, na zaidi
Baada ya kutoka gerezani mandela hakuonesha kinyongo kwa wazungu.
MWANA HARAKATI
NELSON MANDELA AFARIKI DUNIA
Ni rais wa kwanza mweusi afrika ya kusini, alifungwa gerezani kwa muda wa miaka 27 lakini alishangaza wengi baada ya kutoka alishiriki kuongoza taifa hilo na wazungu waliomfunga.
Itakumbukwa alikuwa mshirika wa karibu na Tanzania katika vita ya kupigania uhuru alipokuwa akihitaji ushauri wa mwalimu Nyerere ambaye ni rais wa kwanzan wa Tanganyika? Tanzania.
Mandela amepigania roho yake kwa kipindi kirefu baada ya kuugua mara kwa mara, na hadi anaaga dunia usiku saa3, alikuwa na umri wa miaka 95, hivyo atakumbukwa sana na wananchi wa afrika kusini wapo katika maombolezo baada ya rais wa sasa JACKOB ZUMA kutangaza kuwa taifa limempoteza mtoto wake na nuru imezimika.
Baadaye nitakuwekea picha uone hali alisi na gereza alikokuwa analala mandela wakati huo.
Jah rasterfarie...

Tuesday, 3 December 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)