Taarifa na maelezo yake yanasema kuwa alikuja nyumbani kwa kigogo na mtoto huyo, ambapo walilala pamoja ndani na kufanya yaliyowezekana lakini alipostuka asubuhi binti huyoalijikuta peke yake ndani ya chumba na cha ajabu walinzi ambao ni askari polisi, walianza kumtimua.
Amesema kuwa kijana huyo hamjui jina lakini akimwona anamtambua sura ambapo wakati tunaanza kufatilia taarifa hii, usalama wa taifa walipigiwa simu na kumchukua mara moja ili kuondoa aibu kwa kigogo huyo, karibu kabisa na makaazi ya mkuu wa mkoa.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment