Wanafunzi hao ni wa shule ya msingi Mizani katika kata Nyakahula wilayani Biharamulo kutokana na ongezeko ktk shule hiyo yenye chekechea hadi la 3.
Kutokana na hali hiyo mwenyekiti wa kijiji YUSUPH SEIF amepanga kuitisha kikao cha wazazi tarehe 6 mwezi huu kuangalia uwezekano wa kujenga shule nyingine ili kupunguza ongezeko hilo
Shule iliyopo sasa ina madarasa manne na chumba kimoja kinatumiwa na walimu kama ofc ambapo wanataka kujenga shule mpya kutokana na uwingi wa watoto ktk kijiji hicho.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment