Ni mtoto mwenye miaka 13 baada ya kuwa anafanya kazi za ndani wilayani Muleba alipoajiriwa kwenye familia moja yenye baba na mama lkn kutokana na mama kuondoka mara kwa mara nyumbani hapo kitokana na masuala ya kazi, baba mwenye nyumba amekuwa akimwita mtoto huyo chumbani kila anaporejeakutoka kazini.
Kwa mujibu wa mtoto huyo ambaye jina limehifadhiwa, baba huyo amekuwa akimtegeshea mke hayupo ana mwita binti chumbani na kumwingizia vidole sehemu za siri huku akisema kuwa anamwangalia kama ameoga.
Ameeleza kuwa mwanzoni amekuwa akiumia lakini badaye akazoea na hana maumivu tena kwani limekuwa jambo la kila siku na la kawaida.
Baada ya ufuatiliaji wa dawati la jinsi polisi mkoani Kagera, bwana huyoamekamatwa kwa ajili ya uchunguzi na mtoto amechukuliwa na mmoja wa wasamaliawema lakini bado wanatafutwa wazazi wake ili kujua wamelichukuliaje na kwanini wamtafutie mtoto ajira akiwa ns umri huo
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment