Rais amefanya uteuzi wa makatibu tawala na makatibu tawala wasaidizi katika mikoa mbalimbali nchini kwa kuingiza wapya na baadhi kusimamishwa.
Kwamujibu wa taarifa iliyotolewa na katibu kiongozi Balozi OMBENI Y SEFUE, zimesema kuwa uteuzi huo wa makatibu umefanyika ikulu jijini Dar es salaam, na umeanza kufanya kazi tangu jana Jan 17 2014.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment