MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 27 January 2014

MBUNGE KAGASHEKI AKUTANA NA WENYEVITI WA MITAA BUKOBA

 Katika mkutano huo, viongozi mbalimbali wa CCM manispaa akiwamo mwenyekiti wa chama hicho Yusuph Ngaiza, katibu Janet Kyanda na wengine, walipoazimia kushiriki pamoja kuipeleka Bukoba kwenye kilele cha maendeleo.

 Picha zinaonesha wenyeviti mbalimbali walifuatilia kwa karibu mazungumzo yao ambapo wengine wamepata kuuliza maswali wakitaka kujua km kuna fedha zao za viwanja ambazo hata hivyo wanataka kupata utaratibu wake.


Ni mmiliki wa JAMCO BLOG Jamal Kalumuna sambamba na mwandishi habari Kasibante fm Richard Kalumuna.
MWANA HARAKATI

No comments: