Haya ni mabaki ya mwili wa mmoja ya watu walikuwa kwenye Lori hilo la mafuta lililonguka jana jioni katika mlima Sekenke mkoani Singida, na watu wanne kupoteza maisha papo hapo.
Lilikuwa likitokea Dar es salaam kuelekea Zambia likiwa limesheeni mafuta ambayo hatahivyo hajajulikana na Petrol au Diesel.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment