
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akiongea na waandishi wa habari (pichani
juu) kuhusu masulala mbalimbali ya uhusiano wa kimataifa ikiwamo hatua
zinazochukuliwa na Tanzania katika kusuluhisha Migogoro inayotokea ndani na nje ya mataifa mbalimbali na kusisitiza
kuwa Tanzania haiwezi kuingia katika mgogoro na majirani zake. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw.
Assah Mwambene

Amesema kuwa wanaendelea kushughulikia suala la uraia wa nchi mbili na hasa kupitia katiba mpya, lakini akasema kuwa hoja ni fupi sana inayomtaka mgeni kutoka nje apewe uraia kwakurudisha paspot kinyume chake haiwezekani na mtanzania akienda nje akapewa uraia ili afanye shughuli zake, serikali ya tanzania inamwadhibu kwa kumwondolea uraia wa tanzania.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment