MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 20 February 2014

WAANDISHI WA HABARI 20 WAFIKISHWA MAHAKAMANI

Ni kutoka shirika la utangazaji la Aljazeera ambao wamekuwa wakiripoti matukiomnalimbali nchini Misri.

Kwamujibu wa taarifa hii, wanatuhumiwa kutangaza uchochezi,  kuogopesha watalii wasitembelee mchini humo pamoja na kukiza mgogoro kati ya muslim brotherwood na majeshi pamoja na kieneza uadui katika mataifa mengine.

Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchi Misri wanasema nchi hiyo sasa ina matatizo ya kuwazuia wanahabari kuandika mchakato wa Rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Mors hivyo kuharibu taratibu wanazotaka zifanyike kuibadili serikali ya nchi hiyo.


MWANA HARAKATI

No comments: